Jukwaa La Kiswahili

Karibu kwenye jukwaa letu la Kiswahili

Habari wana jukwaa la Kiswahili. watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha maneno haya, KWA AJILI YA na KWA SABABU YA. kwa upande wako unafik

Posted by MSUVA WISLEN - Jun 28, 2015


Habari wana jukwaa la Kiswahili. watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha maneno haya, KWA AJILI YA na KWA SABABU YA. kwa upande wako unafikiri maneno haya yanatofautianaje

Taaluma ya isimu

Posted by RASHID RONOH - Jun 26, 2015


Naomba munichanganulie haya;
1.asili ya lugha,
2.sifa muhimu wa lugha,
3.na munipambanulie matawi ya isimu.
Tafadhali kwa ufupi tu,shukran wapendwa.

pongezi

Posted by odiga paul james - Jun 25, 2015


Kama mpendwa wa lugha ya hii nawapa hongera wote wanaoishughulukia tukio hili lenye mafanikio. Nawahimiza ya kwamba msichoke hata kama changamoto ni nyingi.

aeo

Posted by likasote - Jun 19, 2015


Mitihani ya fasihi simulizi itunngwe kwa maswali yakutoka mdomoni papohapo bila kuandikwa.namjibuji ajibu yatoke yote kwa mdomo bila kuandika.by Likasote Sinene

aeo

Posted by likasote - Jun 19, 2015


Mitihani ya fasihi simulizi itunngwe kwa maswali yakutoka mdomoni papohapo bila kuandikwa.namjibuji ajibu yatoke yote kwa mdomo bila kuandika.