Jukwaa La Kiswahili

Karibu kwenye jukwaa letu la Kiswahili

Heri Ya Mwaka Mpya Wanakiswahili

Posted by Joseph mayuni - Jan 01, 2017


Nawatakia heri ya mwaka mpya wanakiswahili wote, waliopo kwenye paneli hili. tuzidi kusoma sana na kufanya paneli hili kuwa sehemu ya maarifa juu ya lugha ya kiswahili. kuna watu wengi wanahitaji kujifunza juu ya lugha ya kiswahili.

METHALI

Posted by Sir. MWASONGWE - Nov 01, 2016


Afadhali kuchakaza nguo kuliko akili (Kipare) Maana yake ni kuwa hakuna kitu bora kama akili (hekima). Mtu ambaye hana hekima ya uchi kuliko uchi wa aina yoyote ile. Kuwa uchi kinguo, mtu anaweza kununua zingine. Lakini mtu anapokuwa uchi kiakili, hakuna maarifa. Methali hii hutumika kwa kumhurumia mtu ambaye ameharibikiwa na akili na anafanya majambo isivyotakiwa katika jamii.

TAFSIRI

Posted by ivanco k - Jul 31, 2016


Hamjambo wadau ningependa kuomba usaidizi wenu katika kutafsiri wizara na maneno yafuatayo kwa kiswahili; MINISTRY OF PUBLIC SERVICE MANAGEMENT MINISTRY OF TRADE, INDUSTRIALIZATION AND TOURISM MINISTRY OF ENVIRONMENT AND NATURAL RESOURCES MINISTRY OF ROADS, TRANSPORT AND PUBLIC WORKS MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCKS AND FISHERIES MINISTRY OF EDUCATION, CULTURE, YOUTH AND SPORT CHIEF OFFICER intern staff establishment in the department

wazo la kundi la whatsapp

Posted by kansigo chakupewa nkwabi - Jul 30, 2016


wadau na ndugu zangu wa paneli la kiswahili mnaonaje Tuanzishe kundi la whatsap

MAWASILIANO

Posted by Mlavidavi - Jun 20, 2016


Naomba kuwasiliana na uongozi wa gafkosoft.com Nimependezwa sana..... Tafadhali tushauliane kupitia bababyson@gmail.com +254728469199