Jukwaa La Kiswahili

Karibu kwenye jukwaa letu la Kiswahili

DHARURA

Posted by francis maina bin macharia - Jun 17, 2016


Nani anaweza kuwa na diwani za hadithi fupi zifuatazo: Kinywa jumba la Maneno, Mapenzi ni Kikohozi, Pavumapo palilie na Vituko Duniani...ni diwani za hadithifupi za kwanza kuchapishwa

kiswahili kama pijini

Posted by Lesinko Solomon - May 26, 2016


Je kuna mtu yeyote awezaye kujadili(unaweza kuunga mkono ama kukataa) ikiwa kiswahili ni lugha ya kipijini?

Msamiati

Posted by RIDHIWANI - Mar 09, 2016


Nini maana ya neno ngamizi?

msamiati

Posted by yabs - Jan 25, 2016


Je,nyumba ya mbwa huitwaje kwa lugha sanifu

umuhimu wa tamasha za muziki

Posted by Alistair - Jan 04, 2016


umuhimu wa tamasha za muziki katika maisha za vijana