Jukwaa La Kiswahili

Karibu kwenye jukwaa letu la Kiswahili

Naomba mwongezee mifano ya misamiati na insha.

Posted by Walter Walley - Oct 16, 2012


Naomba mwongezee mifano ya misamiati na insha.

FASIHI

Posted by HASSAN MAKOMBO - Oct 14, 2012


NAOMBA NITOE MCHANGO WANGU KWA PANELI. MASWALI YA FASIHI

NAOMBA UTARATIBU. SHUKRAN

Karibuni Waswahili

Posted by Chrispus Munywoki - Oct 13, 2012


Hujambo mpenzi wa Kiswahili mahali popote ulipo na karibu katika jukwaa letu. Tunakupa nafasi ya kuuliza maswali au kujibu maswali ya wenzako. Pia, jisikie huru kupendekeza jambo lolote lile ambalo ungependa tuliangazie katika tovuti hii.

~Gafkosoft Panel