Funzo la saa - Jukwaa La Kiswahili

Posted by Kennedy madaga - Oct 09, 2019


Katika somo la kiswahili,mafunzo ya saa hukanganya sana,je ni sahihi kusema saa nane au saa mbili unaporejelea 2.00?