Mafumbo - Jukwaa La Kiswahili

Posted by robert kibui - Nov 27, 2019


Naomba jibu la hili fumbo. Sio kawaida yangu nitembee pekee yangu, napokuwa na wenzangu wengi huchanganyikiwa, kukosekana kwangu kwenye shughuli mingi ni hatari sana, kuwepo kwangu mara nyingi ni mambo yote.