Methali ni tungo fupi za kisanaa ambazo hutoa wosia/nasaha kwa lugha ya mafumbo.

Sifa za Methali

1. Huwa na maana ya ndani na ya nje.

Maana ya ndani huwa fiche na huhitaji hekima kuitambua. Maana ya juu huwa wazi kwani hurejelea vitu vinavyojulikana vizuri.

2. Methali huwa na vipande viwili

3. Baadhi ya methali hutumia mbinu za lugha

4. Methali huwa na mazingira

5. Baadhi ya methali ni refu, nyingine ni fupi

6. Methali huwa na wakati - kuna methali za kale na za kisasa

7. Methali huwa na funzo

Hakuna methali isiyokuwa na funzo lake.

8. Baadhi ya Methali huwa na Ukinzani

kuwepo kwa methali nyingine inayopinga maana ya hiyo

9. Baadhi ya Methali huwa na maana sawa

Umuhimu wa Methali