Search Results


Fasihi Andishi

Fasihi Andishi ni aina ya sanaa ambayo hutumia maneno yaliyoandikwa kupitisha ujumbe. Ni sanaa inayopitishwa kwa njia ya maandishi Tanzu za Fasihi Andishi Kuna tanzu nne kuu za Fasihi Simulizi: Hadithi

Wahusika Katika Fasihi Andishi

Fasihi Andishi hutumia wahusika wanadamu, kinyume na Fasihi Simulizi ambayo hutumia wahusika changamano (watu, wanyama, mazimwi n.k). Kunazo aina kadhaa za wahusika katika kazi ya fasihi andishi kama vile

Riwaya

ni kazi ya fasihi andishi ambayo huwa ndefu na aghalabu riwaya moja hujaza kitabu kizima. Riwaya huwa na wahusika wengi na huangazia mawazo kadhaa. Aidha, riwaya hufanyika katika mazingira mbalimbali

Fasihi

Simulizi na Fasihi Andishi : Fasihi Simulizi Hadithi (Ngano) - hekaya, mighani, visasili n.k Nyimbo - za jandoni, za ndoa, za kazi n.k Maigizo - michezo ya kuigiza, ngomezi n.k Tungo Fupi - methali, vitendawil

Ushairi

pia katika fasihi andishi kwa sababu mashairi yanaweza kuwasilishwa kwa njia ya kukariri na pia kwa njia ya maandishi. Mashairi yanayoghanwa badala ya kuimbwa huitwa maghani. ==Uchambuzi== Katika ushairi

Tamthilia

tamthilia katika fasihi andishi: Tamthilia Cheshi/Komedia - ni mchezo wa kuchekesha. Maudhui yake huundwa kwa lengo la kutumbuiza hadhira. Tamthilia Simanzi/Trejedia - ni mchezo uliojaa huzuni, mikasa

Paneli la Kiswahili

Simulizi na Fasihi Andishi kwa kuzingatia maana, sifa, umuhimu wake. Katika ushairi tutazingatia aina za mashairi, muundo wa mashairi na uchambuzi wa mashairi. Isitoshe, tutamulika tamathali za usemi

Methali Katika Fasihi

hutumiwa na waandishi, wazungumzaji na katika kazi mbali mbali za sanaa kama mapambo ya lugha Hutumika kutoa mawaidha katika jamii - mfano: asiyefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu Hutumika kuunganisha

Tamathali za Usemi

mwandishi wa fasihi anaweza kutumia methali kupitisha ujumbe. Maswali ya Balagha -Tashititi au maswali ya balagha ni maswali yanayoulizwa na msimulizi au mhusika ambayo hayahitaji jibu. Mubalagha. (Rhetorical

Alama za Uakifishaji

Umuhumu wa fasihi simulizi: ‒ kuburudisha ‒ kuelimisha ‒ kuunganisha jamii Alama ya Mabano au Parandesi () 1. Kutoa maelezo zaidi Z. Anto (aliyeimba Binti Kiziwi) ametoa wimbo mpya. Shangazi yangu

Search In: Sauti za Kuimba | Paneli la Kiswahili