Search Results


Fasihi

Andishi : Fasihi Simulizi Hadithi (Ngano) - hekaya, mighani, visasili n.k Nyimbo - za jandoni, za ndoa, za kazi n.k Maigizo - michezo ya kuigiza, ngomezi n.k Tungo Fupi - methali, vitendawili n.k Fasihi

Ngano Katika Fasihi Simulizi

Utanzu huu wa fasihi simulizi umegawanyika katika vipera (aina) kadhaa: AINA MAELEZO KWA UFUPI Khurafa hadithi ambazo wahusika ni wanyama. Hekaya mhusika mmoja (k.v sungura) huwa mjanja kuliko wenzake

Wahusika Katika Fasihi Andishi

kinyume na Fasihi Simulizi ambayo hutumia wahusika changamano (watu, wanyama, mazimwi n.k). Kunazo aina kadhaa za wahusika katika kazi ya fasihi andishi kama vile: tamthilia, riwaya na hadithi fupi. Aina

Fasihi Andishi

nne kuu za Fasihi Simulizi: Hadithi Fupi - kazi andishi ya fasihi isiyokuwa ndefu sana Riwaya - kazi andishi ya fasihi ambayo huwa ndefu kuliko hadithi fupi Tamthilia - kazi andishi ya fasihi inayowasilisha

Vichekesho

sanaa ya fasihi simulizi ambayo watu hutoa vihadithi vifupi au sentensi zenye uwezo wa kuwafanya wasikilizaji wacheke. Vichekesho huhitaji ubunifu mwingi ili kutaja jambo litakalowavunja bavu hadhira

Maghani Katika Fasihi Simulizi

Maghani ya Masimulizi Maghani ya Masimulizi Lengo la maghani ya aina hii ni kusimulia kisa fulani, historia, n.k. Kuna fani mbili za Maghani ya Masimulizi: a) Tendi Tendi ni ushairi mrefu unaosimulia

Maigizo

sanaa katika fasihi simulizi ambayo watendaji huwa ndio wahusika. Maigizo hayasimuliwi kama mbinu nyingine za fasihi. Wahusika ndio huzungumza katika sehemu zao mbalimbali. Mifano: Michezo ya Kuigiza

Nyimbo Katika Fasihi Simulizi

Nyimbo katika Fasihi Simulizi Kuburudisha Kuelimisha, kufunza, kuonya, kuelekeza Kuliwaza Kusifia kitu au mtu katika jamii Kuunganisha jamii Kudumisha/kuhifadhi tamaduni za jamii Kukuza talanta na sanaa

Tamathali za Usemi

kusikiliza masimulizi. Angalau unahitaji kusoma sentensi kadhaa au hata hadithi nzima ili kutambua mbinu ya sanaa iliyotumika. Mbinu za Lugha Tanakali za Sauti -Ni mbinu ya kutumia maneno yanayoiga sauti

Mifano ya Methali

Fasihi Simulizi • Tungo Fupi • Mifano ya Methali Ifuatayo ni mifano ya Methali , kipera cha tungo fupi katika Fasihi Simulizi. 1. Achekaye kovu hajaona jeraha. 2. Adhabu ya kaburi aijua

Search In: Sauti za Kuimba | Paneli la Kiswahili