Search Results


Ushairi

Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia lugha teule na mpangilio fulani wa maneno badala ya kutumia lugha natharia(mflulizo). Ushairi unaweza kuwa kipera cha fasihi simulizi (nyimbo) na pia katika fasihi

Aina za Mashairi

Bahari za Ushairi . Aina za mashairi huzingatia idadi ya mishororo katika kila ubeti ilhali Bahari za Shairi hutegemea na muundo wa shairi kwa kuzingatia vina, mizani, vipande na mpangilio wa maneno.

Uchambuzi wa Mashairi

Muundo/Umbo la Ushairi Katika umbo wa shairi, tunaangazia jinsi shairi lilivyoundwa kwa kuangazia mizani, vina, mishororo n.k Aidha, ni muhimu kutaja aina na bahari za shairi zinazohusiana na kila sifa

Maghani Katika Fasihi Simulizi

Tendi ni ushairi mrefu unaosimulia matukio ya kishujuaa. Tendi zinaposimuliwa huandamana na ala za muziki. Sifa za Tendi: Ni ushairi mrefu Husimulia matendo ya kishujaa kwa njia kishairi Husimuliwa badala

Paneli la Kiswahili

wake. Katika ushairi tutazingatia aina za mashairi, muundo wa mashairi na uchambuzi wa mashairi. Isitoshe, tutamulika tamathali za usemi (mbinu za lugha na mbinu za sanaa) mbalimbali zinazotumika Katika

Michezo ya Kuigiza

tanakali za sauti, tamathali na nyinginezo Hujumulisha aina nyingine za sanaa kama vile ushairi na nyimbo. Umuhimu wa Michezo ya Kuigiza Huburudisha Huelimisha Hukuza uwezo wa kukumbuka kwa watendaji

Alama za Uakifishaji

maneno katika ushairi hasa kwa kusudi la kutosheleza idadi ya mizani 'takufuata popote wendapo, 'liapo ya mgambo, lazima kuna jambo 6. Katika maendelezo ya sauti ya ung'on'g'o (ng') Ng'ombe wa Ng'ang

Search In: Sauti za Kuimba | Paneli la Kiswahili