Uzungumzi Nafsia
Uzungumzaji nafsia (nafsiya) ni pale mhusika anapojizungumzia mwenyewe kana kwamba anaongea na mtu mwengine. Uzungumzaji huu hutumika kuonyesha mtiririko wa mawazo katika akili ya mhusika. Monologue
- Inavyoonekana nitaipoteza hii kazi, lakini sitakufa moyo, ninajua hatua nitakayochukua.
- Sasa hata nikiwaambia ukweli hawataniamini. Lakini nikiwadanganya na wajue, watanichinja. Sijui nifanyeje.