Chuku

Chuku ni kutumia maneno yaliyotiliwa chumvi ili kusisitiza ujumbe fulani au kusifia kitu.
  • Alilia huku akidondokwa na machozi mengi yaliyomlowa mwili mzima, na kutiririka hadi yakaunda kijito cha maji
  • Kabla ya kifo cha mama Kajuta, alikuwa amekonda akabaki mifupa pekee.