Kinaya

Kinaya ni hali ya mambo katika riwaya/hadithi kuwa kinyume na matarajio.
  • Kiongozi fulani kujisifia kwamba yeye ni mpenzi wa watoto na wanawake ilhali ni yeye anayeendeleza unyanyasaji wa wanawake na watoto.
  • Mchungaji Boriti anawalaani vijana kwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa lakini yeye mwenyewe ana uhusiano wa kimapenzi na bintiye, Katamu.