Misimu

MISIMU
Utanzu wa Fasihi Fasihi Simulizi
Kipera cha Tungo Fupi
Kiingereza Slang

Prev Vitanza Ndimi na Vichezea Maneno
Next Lakabu

Misimu ni maneno ambayo huzuka miongoni mwa kundi fulani katika jamii na hueleweka tu miongoni mwa watu katika kundi hilo. Misimu hukua na kutoweka baada ya muda.

Sifa za Misimu

  1. Huzuka, hutumika kwa muda na hutoweka
  2. Hueleweka tu baina ya kundi fulani katika jamii hasa vijana
  3. Hutumia lugha fiche
  4. Huchanganya ndimi

Umuhimu wa Misimu

  1. Kupitisha ujumbe
  2. Kupamba lugha
  3. Kutambulisha kundi husika
  4. Kuburudisha


  • Comments