Ndoto (Njozi)

redirected from Mbinu ya Ndoto

Mwandishi hutumia ndoto kutabiri jambo litakalofanyika au kufumbua jambo lililokuwa limefumbwa.
  • Kabla ya siku ya harusi yao, Bi Harusi anaota akiingiza kidole shimoni mwa nyoka. Anaumwa na nyoka. Wakati mwingine nyoka huyo anachukua sura ya Bwana Harusi.
  • Safina amekuwa akitafuta ufunguo muhimu kwa miezi kadhaa. Usiku anaota akikata kuni mahali fulani; kwa bahati mbaya anagonga kifunguo na kukivunja.