Ritifaa

Ritifaa ni mbinu ya kuzungumza na mtu aliyekufa (au asiyekuwepo) kana kwamba yuko pamoja nawe.
  • Baba ooh Baba, mbona umeniacha nikihangaika? Ulipokuwa hai nilikula na kushiba,
  • nilivaa vizuri lakini sasa tangu uende ninateswa na kukandamizwa. Tafadhali baba rudi. Toka kaburini uniokoe.