Sadfa

Sadfa ni kugongana kwa vitendo viwili vinavyohusiana kana kwamba vilikuwa vimepangwa, japo havikuwa vimepangiwa.
  • Maria na Chali wanakutana mjini, wanapendana na wanaanza kuchumbiana. Lakini Maria anapompeleka Chali nyumbani kwa wazazi wake
  • nyanyake anawaambia kwamba walikuwa mapacha waliotengana wakiwa wadogo.
  • Dakika ile ile ambayo mtoto alizaliwa, ndiyo babu yake aliaga dunia.