Tanakali za Sauti

Redirected from Tanakali


TANAKALI ZA SAUTI
Pia Huitwa Milio
Kitengo Tamathali za Usemi
Aina ya Mbinu / Fani za Lugha

Prev Mbinu ya Nyimbo
Next Tashbihi

Tanakali ni mbinu ya kutumia maneno yanayoiga sauti au hali fulani au namna kitendo kilivyofanyika. Pia huitwa milio.

 • anguka pa
 • anguka mchangani tifu
 • tumbukia majini chubwi
 • lia kwi kwi kwi
 • tiririkwa na machozi tiriri tiriri
 • tulia tuli
 • bingiria bingiribingiri
 • nyooka twaa
 • kuwa mweupe pe
 • mweusi tititi


 • Comments