Tanakuzi

Tanakuzi ni mbinu ya kusisitiza ujumbe kwa kuambatanisha maneno ya kinyume au yanayokanushana. Pia huitwa takriri tanakuzi
  • nikawaza na kuwazua
  • hana mbele wala nyuma
  • bandika bandua
  • wazee kwa vijana, wake kwa waume
  • liwake lisiwake kutakucha twende zetu
  • Nitakuchukulia hatua ya kisheria upende usipende