Taswira

Ni matumizi ya lugha/maneno kujenga picha ya hali au tukio fulani kwenye akili ya hadhira.
  • Chumba kilikuwa kimepambwa kikapambika. Macho yangu yalitua kwenye pazia iliyoning'inia karibu na kitanda.
  • Mkabala wa kitanda palikuwa na meza iliyowekelewa redio iliyocheza kwa sauti ya juu. Saa kubwa ya ukutani ilining'inia juu ya meza...