Uzungumzi Nafsia

Uzungumzaji nafsia (nafsiya) ni pale mhusika anapojizungumzia mwenyewe kana kwamba anaongea na mtu mwengine. Uzungumzaji huu hutumika kuonyesha mtiririko wa mawazo katika akili ya mhusika. Monologue
  • Inavyoonekana nitaipoteza hii kazi, lakini sitakufa moyo, ninajua hatua nitakayochukua.
  • Sasa hata nikiwaambia ukweli hawataniamini. Lakini nikiwadanganya na wajue, watanichinja. Sijui nifanyeje.