Jazanda

Ni kulinganisha vitu viwili moja kwa moja bila kutumia viunganishi..

Tofauti kuu kati ya Jazanda na Istiara ni kwamba isitiara hulinganisha kwa kutumia kiungo "ni" ilhali jazanda haitumii kiungo chochote.

Kwa mfano:
  • Isitiara: - Mke wa Bwana Ali ni kasuku.
  • Jazanda: - Bwana Ali alioa Kasuku.

Mifano ya Jazanda

  1. Mama wa kambo anatuhangaisha sana. Ni heri kuishi bila makazi kuliko kukaa nyumba moja na simba huyo.