Kejeli

Kejeli ni mbinu ya sanaa inayotumia maneno kudharau au kukemea kitendo au mtu fulani. Kejeli inawezatumia maneno ya madharau yanayojitokeza moja kwa moja au yaliyofichika.

Tofauti kuu kati ya kejeli na kinaya ni kwamba kinaya hutumia maneno kumaanisha kinyume chake
  • Kama wewe ndiye mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe na utuokoe sisi.
  • Mwalimu Manyumba ndiye anayetoa hotuba leo; itabidi tubebe mablanketi.